Naitwa Godfrey, mwanaume niliyejipatia mafanikio makubwa kupitia biashara yangu ya vifaa vya ujenzi hapa jijini Mbeya. Kwa nje, watu walikuwa wakijua mimi ni mwanaume mwenye bahati kwa sababu ya ukwasi niliokuwa nao, lakini siri ya moyoni ilikuwa ni upweke na maumivu ya kusalitiwa kila uchao.
Kwa zaidi ya miaka tisa, nimekuwa nikiishi maisha ya kutafuta mke wa ndoa lakini nimekuwa nikikutana na “wadudu” badala ya binadamu. Kila mwanamke niliyeanzisha naye mahusiano alikuwa anakuja na gia ya mapenzi, lakini akishajua nina uwezo wa kifedha, anaanza kunichuna kwa visingizio vya kusaidia ndugu zao, kisha anatokomea na mwanaume mwingine.
Nilihisi nina nuksi inayovutia wanawake wenye roho za kimasikini na unyang’anyi tu.
Hali hii ilinipelekea kufilisika mara mbili kwa sababu ya kutoa fedha nyingi kwa wanawake walioahidi kunizalia na kunijengea familia. Nilianza kuitwa “ATM inayotembea” na rafiki zangu wa karibu, jambo lililonifanya nianze kuchukia wanawake na kuishi kama mtu aliyekata tamaa.

Nilihangaika kwa wataalam mbalimbali nchini Tanzania nikitafuta kusafishiwa nyota yangu ya mapenzi, lakini kila niliyemfuata alikuwa akiongeza maumivu kwa kuchukua pesa yangu bila kunipa mke niliyemtafuta.
Siku moja nikiwa safarini kuelekea Nairobi kibiashara, nilikutana na mfanyabiashara mwenzangu ambaye alikuwa amekaa kiti cha jirani ndani ya ndege.
Tulianza kubadilishana mawazo na nikajikuta namfungulia moyo wangu kuhusu masahibu yanayonipata upande wa wanawake. Yule mzee alinicheka sana na kuniambia, “Godfrey, nyota yako imetiwa giza la ‘chuma ulete’ wa mapenzi.” Alinitajia huduma ya Kipemba Doctors kutoka Kisumu Town, Kenya.
Aliniambia kuwa Kipemba Doctors siyo tu anasafisha nyota ya biashara, bali ni bingwa wa kumsafisha mwanaume anayekutana na wanawake matapeli ili apate mke mwenye baraka. Nilichukua namba yake ambayo ni +254 708 798256 na kuamua kuwasiliana naye mara tu nilipotua Nairobi. Kipemba Doctors alinieleza kuwa nyota yangu ya ndoa ilikuwa imezikwa kwenye shimo la giza na mwanamke mmoja niliyewahi kumkataa zamani.
Kipemba Doctors alinifanyia tiba ya kufungua milango na kusafisha nyota yangu kwa njia ya asili. Aliniambia kuwa kuanzia sasa, nitampata mwanamke ambaye hatatazama mfuko wangu bali atatazama moyo wangu.
Siku nne tu baada ya kurejea Tanzania, nilikuwa nimeenda kanisani kwa ajili ya maombi ya shukrani. Nikiwa nimekaa kwenye benchi la nyuma, mwanamke mmoja mtanashati na mwenye busara anaitwa Neema, alikuja kukaa karibu yangu.
Neema alikuwa ni mhasibu katika shirika moja la dini na hakuwa na habari yoyote na mali zangu. Tulianza urafiki wa kawaida na kwa mara ya kwanza nilihisi amani ambayo sijawahi kuipata.
Neema alionyesha kunithamini hata wakati biashara yangu ilipopata mtikisiko mdogo. Tulioana baada ya miezi tisa na sasa hivi Neema ndiye msimamizi wa biashara zangu zote, na tangu nimuoe, utajiri wangu umeongezeka mara dufu. Namshukuru sana Kipemba Doctors kwa kunivua kwenye mikono ya wanawake manyang’au na kunipa mke mwenye hekima na baraka.