Naitwa Juma Mwakalinga. Hii ni simulizi yangu mwenyewe.
Nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi jijini Dar es Salaam. Kazi ilikuwa ngumu, zamu za usiku zilikuwa zinaniumiza sana, lakini nilikuwa nafanya kwa ajili ya familia yangu – mke wangu, Neema Mushi, na watoto wetu.
Miezi mitatu baada ya kuajiriwa, nilianza kuona mabadiliko kwa mke wangu. Zamani tulikuwa karibu sana. Hakuwa ananiacha bila kunitumia salamu hata kama sikuwa karibu na simu. Lakini kadri muda ulivyopita, alianza kubadilika. Nikimpigia simu, sauti yake haikuwa na hamasa kama zamani. Nilijipa moyo nikisema labda ni uchovu wa majukumu ya nyumbani.
Siku moja rafiki yangu alinifuata na kuniambia,
“Juma, kuna jambo si sawa. Nimekuwa nikimuona askari wa usalama barabarani akiingia kwako alfajiri.”
Nilishtuka, lakini sikutaka kuamini haraka. Niliamua kujionea mwenyewe.
Siku moja nilimwambia Neema kuwa ningeongeza muda kazini na ningerudi baadaye kuliko kawaida. Nilimfanya aamini kuwa sitakuwa karibu na nyumba. Lakini usiku huo nilienda kazini mapema. Saa kumi alfajiri nilipata maumivu makali ya kichwa, nikaruhusiwa kuondoka ili nipumzike.
Nilipokaribia nyumba yangu, nilimuona mwanaume mwenye mwili mkubwa akiingia ndani. Mke wangu alimfungulia haraka na kufunga mlango.
Nilihisi moyo wangu ukidunda kwa nguvu. Nilisubiri nje kama dakika thelathini. Kisha nikaenda taratibu hadi dirishani mwa chumba chetu cha kulala. Nilichokiona kiliniuma moyo sana. Nikasikia mke wangu akisema kwa sauti ya chini,
“Nimeinua… zama ndani sasa… katambe.”
Machozi yalianza kunitiririka bila kujizuia. Nilihisi dunia imeniporomokea. Nilitamani kusukuma mlango na kuingia ndani, lakini niliogopa mambo yangekuwa mabaya zaidi.
Badala yake, nilimpigia simu Neema na kumwambia, “Nimesikia na nimeona kila kitu.”
Alinijibu kwa sauti isiyo na huruma:
“Kama hutaki, unaweza kuniacha. Kesho nahama.”
Maneno yale yalinichoma zaidi kuliko kitu chochote.
Niliondoka pale na kwenda kulala kwa rafiki yangu hadi asubuhi. Sikuweza kuvumilia maumivu yale. Baadaye nilisafiri kwenda Morogoro kwa wazazi wangu na kuwaeleza yote. Nikiwa huko, nilipokea ujumbe kutoka kwake:
“Njoo uchukue funguo zako. Mimi nimeendelea na maisha yangu.”
Kwa miezi saba niliishi katika huzuni kubwa, msongo wa mawazo na kukata tamaa. Lakini siku moja nilijiambia, *“Siwezi kuwaacha watoto wangu. Lazima nitafute suluhisho.”*
Nilianza kutafuta ushauri wa kitaalamu wa ndoa. Kupitia rafiki, nilipata mawasiliano ya mshauri wa mahusiano anayeitwa *Dr Kipemba*. Nilipata ushauri wa kujenga upya mawasiliano, kujiamini na kushughulikia maumivu yangu kwa njia sahihi.
“Ilibidi nifanye Tambiko la Ndoa, Tambiko la Kumrudisha Mchumba Aliyetoroka, hili liliweza kuwa ni jarida kuu la maisha yangu. Hii isingefanyika ningeipoteza ndoa yangu.”
Haikuwa rahisi, lakini polepole mambo yalianza kubadilika. Baada ya muda, Neema aliachana na yule mwanaume. Alinifuata Morogoro kuomba msamaha.
Leo hii bado tunaendelea kujenga upya ndoa yetu. Nimejifunza kuwa maumivu ni makubwa, lakini kukata tamaa ni hatari zaidi.