Nilihisi mume wangu anaanza kunichoka na kuanza kutafuta furaha nje

Naitwa Rose, mkazi wa mkoa wa Mbeya. Maisha yangu ya ndoa kwa miaka minane yalikuwa ya majaribu makubwa sana. Licha ya mume wangu kuwa mfamasia na mjuzi wa madawa ya hospitali, hakuweza kunisaidia mimi kupata mtoto.Nilikuwa nimekunywa kila aina ya vidonge vya kuchochea mayai (hormones) lakini tumbo langu lilibaki kuwa gumu.

Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nilifikia hatua ya kukata tamaa na kuanza kusikiliza masharti ya waganga wa kienyeji walionielekeza mambo ya ajabu, ikiwemo kunywa maji yaliyochanganywa na mambo ya kishirikina.
Nilikuwa naishi kwa aibu, kila sherehe ya kutoa mtoto (send-off au kicheni pati) ikifika, nilikuwa naenda kwa unyonge nikijua kabisa kuwa mimi niko tofauti na wanawake wenzangu.

Nilihisi mume wangu anaanza kunichoka na kuanza kutafuta furaha nje. Nilikonda na kupoteza ule uzuri wangu wa asili kwa sababu ya kulia kila usiku.

Siku moja nikiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya benki, nilimkuta mama mmoja aliyekuwa amebeba mtoto mchanga akizungumza na rafiki yake.

Alikuwa akisimulia jinsi alivyoteseka kwa miaka kumi bila mtoto hadi alipopewa namba ya mtaalamu mmoja shupavu anayeitwa Kipemba Doctors kutoka Kisumu Town, Kenya. Alisema, “Kipemba Doctors ndiye aliyenipa dawa ya asili iliyosafisha kizazi changu ndani ya mwezi mmoja.”

Bila kupoteza muda, niliichukua namba hiyo ambayo ni +254 708 798256. Nilimtafuta Kipemba Doctors kwa njia ya simu na kumweleza jinsi nilivyochoka kunywa madawa ya hospitali bila mafanikio.
Alinituliza na kuniambia kuwa asili ina majibu ya kila kitu. Alinitengenezea dawa ya mitishamba asilia na kunitumia kwa njia ya usafiri wa haraka hadi Mbeya.

Baada ya kutumia dawa ile kwa muda mfupi, muujiza mkubwa ulitokea! Nilianza kuhisi mabadiliko mwilini na nilipoenda kupima, nilikutwa na ujauzito wa mwezi mmoja.
Leo hii mimi ni mama wa watoto wawili, mmoja wa kike na mmoja wa kiume, na mume wangu amenijengea nyumba ya kifahari kama shukrani. Namshukuru sana Kipemba Doctors kwa kunifanya nionekane mwanamke kamili.